MOTIVATIONAL CORNER
Lango la Ndoto: Mungu husema nasi kupitia ndoto tunazoota!
Ndoto ni nini?
Ni maono unayopata wakati umelala!
Maono haya unaweza kupata kutokana na vyanzo viwili;
1. Mungu
2. Matukio ya siku, mawazo, etc
ðŸFocus yetu ya leo ni ndoto anazotupa Mungu kama channel ya yeye kuzungumza na sisi:
“Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali. Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani;
Kwa andiko hilo, safe to say, so long as unaota NDOTO, Mungu alishasema na WEWE na anaendelea kusema na WEWE! Wale wanaosema hawajawahi kuisikia sauti ya MUNGU au Mungu hajawahi kuwasemesha,..well, kwa mujibu wa hilo andiko, MUNGU anasema na wewe!! Yes, *ndoto ni SAUTI ya Mungu kwetu binadamu!!*
Hence, kupuuza ndoto unazoota ni kuipuuza sauti ya Mungu!
Kwanini Mungu anasema na sisi kwenye ndoto?
1.Kutufunulia vitu mbalimbali kama maono ya maisha yetu, majibu ya maombi yetu na kutupa mafundisho.
“Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia muhuri mafundisho yao,
2.Kutuonya juu ya mambo tunayoyafanya i.e tabia zetu, mienendo yetu, maamuzi yetu, kiburi, hasira,etc.
“Ili amwondoe mtu katika makusudio yake, Na kumfichia mtu kiburi;
3.Kutukinga na majanga na kutupa ulinzi.
“Yeye huizuia nafsi yake isiende shimoni, Na uhai wake usiangamie kwa upanga.
*NOTE
Hata zile ndoto tunazozi-label ‚kwamba zinatoka kwa shetani, huwa sio hivyo‚bali Mungu mwenyewe anakupa glimpse ya kuona nini KINAENDELEA KWENYE ULIMWENGU WAKO WA ROHONI kuhusu wewe vs Mungu, na wewe vs Shetani, ili UCHUKUE HATUA kuruhusu au kutoruhusu YATOKEE kwenye ulimwengu wako wa mwili!!
Ndio maana ndoto za hivyo zinakujaga na mshtuko au mahangaiko fulani (some level of discomfort) ili kututingisha tusichukulie poa!
“Yeye hutiwa adabu kwa maumivu kitandani mwake, Na kwa mashindano yaendeleayo daima mifupani mwake;
Mfano; umeota umepata ajali mbaya, au kuna msiba nyumbani, au anything negative‚hiyo ni taarifa ya mikakati iliyopangwa kwenye ulimwengu wako wa Roho.., unaonyeshwa kabla haijatokea kwenye ulimwengu wako wa mwili ili uzuie mapema kwa MAOMBI, KUFUNGA NA KUTOA SADAKA (depending on the gravity of the situation)! Usikemee tu halafu ukaendelea na maisha yako! Take your time in the place of prayer! Omba hata siku nzima wakati unaendelea na michakato ya siku., mpaka upate AMANI moyoni au NENO LA MAARIFA ndipo utakapojua umeshinda!!
Since ndoto ni sauti ya Mungu inayosema nasi, ni MUHIMU kuwa na *DIARY* (physical au kwenye simu) ya kuandika ndoto zako!!
Kama kuna principle maishani mwangu iliyonipa manufaa makubwa katika kuijua, kuitii na kuiamini sauti ya Mungu, ni hii tabia ya kuandika ndoto zangu kila ninapoota., regardless niwe nimeielewa au la! Mungu anajibu maombi kupitia ndoto! Huonyesha njia kupitia ndoto!! Ukisubiri uisikie audible voice ya Mungu kila wakati, well, utakosa mengi na utachelewa kwenye kukamilisha vitu vingi!!
Ukiota ndoto ukashtuka usingizini, record audio kwenye simu (kama umechoka kuandika), usiseme utaandika asubuhi kwa sababu unaweza ukasahau details muhimu asubuhi ikifika! Andika TAREHE na MUDA wa kila ndoto unayoiota!!
“BWANA akanijibu, akasema, *iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao*, ili aisomaye apate kuisoma kama maji. Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.
Then, MUHIMU kuliko yote OMBEA NDOTO UNAZOOTA! Kila detail uliyoiona kwenye ndoto iombee, haijalishi kama umeielewa au la! Mungu mwenyewe atakupa tafsiri yake in time! Unapoombea ndoto zako unaruhusu yale mema yatokee na kuzuia yale mabaya/maovu yasitokee.
I always say, “Every dream is a brick to your future, a light to your present & a memory of your past, honor them. ~Beatrice
By Beatrice Semba, Mwanasheria na Meneja Miradi (Women Power for Development).